0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

375. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب فضل الحب في الله والحث عَلَيهِ وإعلام الرجل من يحبه، أنه يحبه، وماذا يقول لَهُ إِذَا أعلمه


وعن أنسٍ – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {ثَلاثٌ مَنْ كُنَّ فِيهِ وَجَدَ بِهِنَّ حَلاوَةَ الإيمانِ: أنْ يَكُونَ اللهُ وَرَسُولُهُ أحَبَّ إِلَيْهِ مِمَّا سَوَاهُمَا، وَأنْ يُحِبّ المَرْءَ لاَ يُحِبُّهُ إلاَّ للهِ، وَأَنْ يَكْرَهَ أنْ يَعُودَ في الكُفْرِ بَعْدَ أنْ أنْقَذَهُ الله مِنْهُ، كَمَا يَكْرَهُ أنْ يُقْذَفَ في النَّارِ}      مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ  amesema: [Mambo matatu, atakayekuwa nayo atapata utamu wa imani: Allâh na Mtume Wake wapendeze zaidi kwake kuliko wengineo, ampende mtu na wala asimpende ispokuwa kwa ajili ya Allâh, na achukie kurudi katika ukafiri – baada ya Allâh kumwokoa kutoka huko – kama anavyochukia kuingizwa motoni.] [ Wameafikiana na Bukhari na Muslim] 


Begin typing your search above and press return to search.