0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

369. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب زيارة أهل الخير ومجالستهم وصحبتهم ومحبتهم وطلب زيارتهم والدعاء منهم وزيارة المواضع الفاضلة


 وعن أنس – رضي الله عنه -: أنَّ أعرابياً قَالَ لرسول الله – صلى الله عليه وسلم -: مَتَى السَّاعَةُ؟ قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَا أعْدَدْتَ لَهَا؟} قَالَ: حُبَّ الله ورسولهِ، قَالَ: {أنْتَ مَعَ مَنْ أحْبَبْتَ}     مُتَّفَقٌ عَلَيهِ، وهذا لفظ مسلم

وفي رواية لهما: مَا أعْدَدْتُ لَهَا مِنْ كَثيرِ صَوْمٍ، وَلاَ صَلاَةٍ، وَلاَ صَدَقَةٍ، وَلَكِنِّي أُحِبُّ الله وَرَسُولَهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mbedui mmoja alimwuliza Mtume : “Ni lini Qiyama?” Mtume akamwuliza: “Umejiandalia nini?” Akajibu: “Kumpenda Allâh na Mtume Wake.” Akamwambia: “Wewe utafufuliwa na unayempenda.”   [Imepokelewa na Bikhari na Muslim].

Riwaya zao (Bukhârî na Muslim) nyingine, zimesema: “..Sikujiandalia kufunga kwa wingi wala kuswali kwa wingi wala kutoa sadaka kwa wingi; lakini nampenda Allâh na Mtume Wake.”


Begin typing your search above and press return to search.