0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

361. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب زيارة أهل الخير ومجالستهم وصحبتهم ومحبتهم وطلب زيارتهم والدعاء منهم وزيارة المواضع الفاضلة


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النَّبيِّ – صلى الله عليه وسلم -: {أنَّ رَجُلاً زَارَ أَخَاً لَهُ في قَريَة أُخْرَى، فَأرْصَدَ الله تَعَالَى عَلَى مَدْرَجَتِهِ مَلَكاً، فَلَمَّا أتَى عَلَيهِ، قَالَ: أيْنَ تُريدُ؟ قَالَ: أُريدُ أخاً لي في هذِهِ القَريَةِ. قَالَ: هَلْ لَكَ عَلَيهِ مِنْ نِعْمَة تَرُبُّهَا عَلَيهِ؟ قَالَ: لا، غَيْرَ أنِّي أحْبَبْتُهُ في الله تَعَالَى، قَالَ: فإنِّي رَسُول الله إلَيْكَ بَأنَّ الله قَدْ أَحَبَّكَ كَمَا أحْبَبْتَهُ فِيهِ}           رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesimulia: [Mtu mmoja alimzuru nduguye (kwa Uislamu) katika kijiji kingine. Allâh Akamuwakilishia Malaika wa kumlinda njiani mwake. Alipomwendea, alimwuliza: Waelekea wapi? Akamjibu: Naenda kwa ndugu yangu katika kijiji hiki. Akamwuliza: Una neema fulani unayoisimamia na kujipatia maslahi? Akamjibu: Hapana. Ela mimi nimempenda kwa ajili ya Allâh. Akamwambia; Mimi ni Mjumbe wa Allâh nilietumwa kwako (nikupe bishara) kwamba Allâh Amekupenda kama ulivyompenda kwa ajili Yake. ]  [Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.