0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

355. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwahishimu Ulamaa, Watu Wazima, Watu Wa Bora, Kuwatanguliza Wao Mbele Ya Wengine ….

 باب توقير العلماء والكبار وأهل الفضل وتقديمهم عَلَى غيرهم ورفع مجالسهم وإظهار مرتبتهم


وعن عمرو بن شعيب، عن أبيه، عن جده  رضي الله عنهم، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لَيْسَ مِنَّا مَنْ لَمْ يَرْحَمْ صَغِيرنَا، وَيَعْرِفْ شَرَفَ كَبيرِنَا}   حديث صحيح رواه أَبُو داود والترمذي، وَقالَ الترمذي: {حديث حسن صحيح}

وفي رواية أبي داود: {حَقَّ كَبيرِنَا}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Amru bin Shu‘aib amempokea baba yake aliemsikia babu yake Radhi za Allah ziwe juu yao akisema: “Mtume amesema: [Si katika sisi asiemrehemu mdogo wetu na asiejua sharafu (heshima) ya mkubwa wetu.]     [Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Riwaya ya Abû Dâwûd imesema: […haki ya mkubwa wetu.]


Begin typing your search above and press return to search.