0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

350. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwahishimu Ulamaa, Watu Wazima, Watu Wa Bora, Kuwatanguliza Wao Mbele Ya Wengine ….

 باب توقير العلماء والكبار وأهل الفضل وتقديمهم عَلَى غيرهم ورفع مجالسهم وإظهار مرتبتهم


وعن عبد الله بن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لِيَلِني مِنْكُمْ أُولُوا الأحْلام وَالنُّهَى، ثُمَّ الَّذِينَ يَلُونَهُمْ} ثَلاثاً {وَإيَّاكُمْ وَهَيْشَاتِ الأسْوَاق}     رواه مسلم

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abdullâh bin Mas‘ûd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume  alituambia: [Wanikaribie wenye akili (waliobaleghe) miongoni mwenu, kisha wanaowafwatia wao.” Alisema hivyo mara tatu. Kisha akasema: “Nawatahadharisha na vurumai (vurugu) za watu wa masokoni.”]   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.