7%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

327. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 17

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي سفيان صخر بنِ حرب – رضي الله عنه – في حديثِهِ الطويل في قِصَّةِ هِرَقْلَ: أنَّ هرقْلَ قَالَ لأبي سُفْيَانَ: فَمَاذَا يَأمُرُكُمْ بِهِ؟ يَعْنِي النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: قُلْتُ: يقول: {اعْبُدُوا اللهَ وَحْدَهُ، وَلاَ تُشْرِكُوا بِهِ شَيئاً، واتْرُكُوا مَا يَقُولُ آبَاؤُكُمْ، وَيَأمُرُنَا بِالصَّلاةِ، وَالصّدْقِ، والعَفَافِ، والصِّلَةِ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Sufyân, Sakhri bin Harb Radhi za Allah ziwe juu yako amesimulia katika kisa chake kirefu cha Hiraqli alipomwuliza Abû Sufyân: “Anawaamrisha jambo gani?” Yaani Mtume  Abû Sufyân alijibu: [Hutwambia: ‘Mwabuduni Allâh Mmoja Pekee wala musimshirikishe kwa chochote. Na muache walivyokuwa wakiabudu baba zenu.’ Na akituamuru kuswali, kusema kweli, kujiepusha machafu na kuunga kizazi (undugu/uhusiano).”]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.