0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

322. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 12

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {لَيْسَ الوَاصِلُ بِالمُكَافِىء، وَلكِنَّ الوَاصِلَ الَّذِي إِذَا قَطَعَتْ رَحِمُهُ وَصَلَهَا}     رواه البخاري

وَ{قَطَعَتْ} بِفَتح القَاف وَالطَّاء. وَ{رَحِمُهُ} مرفُوعٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin Amri bin al-Âs Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Anayeunga si yule anaetoa (anapopewa). Lakini anayeunga (jamaa) ni ambaye jamaa zake wanapomkata yeye huwaunga.” Bukhârî. (Yaani: wanapomnyima yeye huwapa.]   [Imepokelewa na Bukhari]


Begin typing your search above and press return to search.