0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

318. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 07

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه ،  -: أن رجلاً قَالَ: يَا رَسُول الله، إنّ لِي قَرابةً أصِلُهُمْ وَيَقْطَعُوني، وَأُحْسِنُ إلَيْهِمْ وَيُسِيئُونَ إلَيَّ، وَأحْلَمُ عَنْهُمْ وَيَجْهَلُونَ عَلَيَّ، فَقَالَ: {لَئِنْ كُنْتَ كَمَا قُلْتَ، فَكأنَّمَا تُسِفُّهُمْ الْمَلَّ، وَلاَ يَزَالُ مَعَكَ مِنَ اللهِ ظَهِيرٌ عَلَيْهِمْ مَا دُمْتَ عَلَى ذلِكَ}      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtu mmoja alimweleza Mtume ﷺ: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, kwa hakika nina jamaa, mimi huwa nikiwaunga nao wakinikata, nawafanyia hisani nao wanifanyia ubaya, nawafanyia upole nao hunifanyia ujinga!” Akamwambia: [Ukiwa ni kama ulivyosema, basi ni kanakwamba unawalisha jivu la moto, na utaendelea kuwa na msaidizi atokaye kwa Mwenyezi Mungu maadamu unadumu katika hali hiyo.”]   [ Imepokewa na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.