0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

316. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 05

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: جاء رجل إِلَى رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: يَا رَسُول الله، مَنْ أحَقُّ النَّاسِ بِحُسْنِ صَحَابَتِي؟ قَالَ: {أُمُّكَ} قَالَ: ثُمَّ مَنْ؟ قَالَ: {أُمُّكَ}، قَالَ: ثُمَّ مَنْ؟ قَالَ: {أُمُّكَ}، قَالَ: ثُمَّ مَنْ؟ قَالَ: {أبُوكَ}  مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وفي رواية: يَا رَسُول الله، مَنْ أَحَقُّ بحُسْنِ الصُّحْبَةِ؟ قَالَ: {أُمُّكَ، ثُمَّ أُمُّكَ، ثُمَّ أُمُّكَ، ثُمَّ أَبَاكَ، ثُمَّ أدْنَاكَ أدْنَاكَ}

{وَالصَّحَابَةُ} بمعنى: الصحبةِ. وقوله: {ثُمَّ أباك} هكذا هُوَ منصوب بفعلٍ محذوفٍ، أي: ثُمَّ بُرَّ أبَاكَ. وفي رواية: {ثُمَّ أبوك}، وهذا واضح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtu mmoja alikuja kwa Mtume akamwuliza: “Yâ Rasûlallâh, ni nani anayestahiki zaidi kufanyiwa wema nami? Akamjibu: Ni mama yako. Akauliza: Kisha nani? Akamjibu: Mama yako. Akauliza: Kisha nani? Akamjibu: Mama yako. Akauliza: Kisha nani? Akamjibu: Baba yako.]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]

Riwaya nyingine imesema: Yâ Rasûlallâh, ni nani anayestahiki zaidi kufanyiwa hisani? Akamjibu: [Mama yako, kisha mama yako, kisha mama yako, kisha baba yako, halafu aliye karibu nawe zaidi.]


Begin typing your search above and press return to search.