0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

315. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 04

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه ، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {إنَّ اللهَ تَعَالَى خَلَقَ الخَلْقَ حَتَّى إِذَا فَرَغَ مِنْهُمْ قَامَتِ الرَّحِمُ، فَقَالَتْ: هَذَا مُقَامُ العَائِذِ بِكَ مِنَ القَطِيعةِ، قَالَ: نَعَمْ، أمَا تَرْضَيْنَ أنْ أصِلَ مَنْ وَصَلَكِ، وَأقْطَعَ مَنْ قَطَعَكِ؟ قَالَتْ: بَلَى، قَالَ: فَذَلِكَ لَكِ، ثُمَّ قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {اقْرَؤُوا إنْ شِئْتمْ: ﴿فَهَلْ عَسَيْتُمْ إِنْ تَوَلَّيْتُمْ أَنْ تُفْسِدُوا فِي الأَرْضِ وَتُقَطِّعُوا أَرْحَامَكُمْ أُولَئِكَ الَّذِينَ لَعَنَهُمُ اللهُ فَأَصَمَّهُمْ وَأَعْمَى أَبْصَارَهُمْ ﴾ [ محمد: 22 – 23 ]  مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وفي رواية للبخاري: فَقَالَ الله تَعَالَى: {مَنْ وَصَلَكِ، وَصَلْتُهُ، وَمَنْ  قَطَعَكِ، قَطَعْتُهُ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Allâh Aliyetukuka Aliwaumba viumbe, Alipomaliza kuwaumba, kizazi kilisimama, kikasema: Haya ni makamu ya mwenye kujilinda Kwako dhidi ya kukata kizazi. Akasema: Naam, ama huridhiki Nimuunge anayekuunga na Nimkate anayekukata? Kikasema: Nimeridhika. Akasema: Hilo ushalipata. Kisha Mtume ﷺ akasema: “Mkipenda someni (Aya hii): [Ndivyo yanayotarajiwa kwenu kufisidi katika ardhi na kuwakata jamaa zenu wakati mkipata ukubwa? Hao ndio Allâh Aliowalaani Akawatia uziwi na kuyapofua macho yao.]  [47:22, 23.]
[Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.