August 28, 2022
0 Comments
.باب حق الجار والوصية بِهِ
وعن عبدِ الله بن عمر – رضي الله عنهما -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {خَيْرُ الأَصْحَابِ عِنْدَ الله تَعَالَى خَيْرُهُمْ لِصَاحِبِهِ، وَخَيرُ الجِيرَانِ عِنْدَ الله تَعَالَى خَيْرُهُمْ لِجَارِهِ} رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA
Imepokewa kutoka Abdullâh bin ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume ﷺ amesema: [Rafiki bora kwa Mwenyezi Mungu ni aliye bora kwa rafiki yake, na jirani bora kwa Mwenyezi Mungu ni aliye bora kwa jirani yake.] [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: “Hadîth hii ni Hasan.]