0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

305. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Jirani Na Kumtendea Wema 03

.باب حق الجار والوصية بِهِ


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {واللهِ لاَ يُؤْمِنُ، وَاللهِ لاَ يُؤْمِنُ، وَاللهِ لاَ يُؤْمِنُ !} قِيلَ: مَنْ يَا رَسُول الله؟ قَالَ: {الَّذِي لاَ يَأمَنُ جَارُهُ بَوَائِقَهُ !}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake  amesimulia: “Mtume alisema: [Wallahi hana imani, Wallahi hana imani, Wallahi hana imani!” Akaulizwa: “Ni nani huyo Yâ Rasûlallâh?” Akajibu: “Ambaye jirani yake hasalimiki na shari zake!]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.