0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

304. Riyadhu Swalihina Mlango wa Haki ya Jirani na Kumtendea wema 02

باب حق الجار والوصية بِهِ


وعن أَبي ذر – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {يَا أَبَا ذَرٍّ، إِذَا طَبَخْتَ مَرَقَةً، فَأكثِرْ مَاءهَا، وَتَعَاهَدْ جيرَانَكَ}    رواه مسلم

وفي رواية لَهُ عن أَبي ذر، قَالَ: إنّ خليلي – صلى الله عليه وسلم – أوْصَاني: {إِذَا طَبَخْتَ مَرَقَاً فَأكْثِرْ مَاءها، ثُمَّ انْظُرْ أهْلَ بَيْتٍ مِنْ جِيرَانِكَ، فَأصِبْهُمْ مِنْهَا بِمعرُوفٍ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Imepokewa kutoka Abû Dharri Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume  aliniusia: [Ee Abû Dharri, unapopika mchuzi zidisha maji yake na umpe jirani yako.]                       [ Imepokewa na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim kutoka kwa Abû Dharri, imesema: Rafiki yangu aliniusia: [Unaopopika mchuzi zidisha maji yake kisha uwatizame watu wa nyumba ya jirani yako na uwapelekee sehemu ya mchuzi huo kwa wema.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.