July 18, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {كَفَى بِالمَرْءِ إثْمَاً أنْ يُضَيِّعَ مَنْ يَقُوتُ} حديث صحيح رواه أَبُو داود وغيره
ورواه مسلم في صحيحه بمعناه، قَالَ: {كَفَى بِالمَرْءِ إثْمَاً أنْ يحْبِسَ عَمَّنْ يَمْلِكُ قُوتَهُ}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs Radhi za Allah ziwe juu yao amesema: “Mtume ﷺ amesema: [Yatosha mtu kuwa ana dhambi kwa kumtupa anayemlisha.] Hadîth hii ni Sahîh, imepokewa na Abû Dâwûd na wengineo.
Muslim ameipokea kwa maana hayo hayo katika Sahîh yake ikisema: [Yatosha mtu kuwa ana dhambi kumnyima chakula anayemmiliki]