July 18, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن سعد بن أَبي وقاص – رضي الله عنه – في حديثه الطويل الَّذِي قدمناه في أول الكتاب في باب النِّيَةِ: أنَّ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ لَهُ: {وإنَّكَ لَنْ تُنْفِقَ نَفَقَةً تَبْتَغِي بِهَا وَجْهَ اللهِ إلاَّ أُجِرْتَ بِهَا حَتَّى مَا تَجْعَلُ في فيِّ امرأتِك} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Sa’d bin Abî Waqqâs Radhi za Allah ziwe juu yake , amesema – katika Hadîth yake ndefu iliotangulia mwanzo wa Kitabu cha Niya kuwa Mtume ﷺ alimwambia: [Na hakika, hutatoa haraja (matumizi ya nyumbani), ukawa unataka Radhi ya Allâh kwa haraja hiyo, ispokuwa utapewa ujira kwayo; hata unachokitia katika kinywa cha mkeo.] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]