0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

289. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kulisha Watoto

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {دِينَارٌ أنْفَقْتَهُ في سَبيلِ اللهِ، وَدِينار أنْفَقْتَهُ في رَقَبَةٍ، وَدِينارٌ تَصَدَّقْتَ بِهِ عَلَى مِسْكِينٍ، وَدِينَارٌ أنْفَقْتَهُ عَلَى أهْلِكَ، أعْظَمُهَا أجْراً الَّذِي أنْفَقْتَهُ عَلَى أهْلِكَ}        رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume Amesema [Dinari uliyoitowa katika Njia ya Mwenyezi Mungu, dinari uliyoitoa katika kuacha mtumwa huru, dinari uliotoa sadaka kumpa masikini na dinari uliompa mkeo yenye ujira zaidi ni ile uliyompa mkeo]     [Imepokewa na Muslim]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.