0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

269. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Waislamu Wanyonge Hadithi 10

BUSTANI YA WATU WEMA

وعن عائشة – رضي الله عنها قَالَتْ: جَاءتني مِسْكينةٌ تَحْمِلُ ابْنَتَيْنِ لَهَا،  فَأطْعَمْتُها ثَلاثَ تَمرَات، فَأعْطَتْ كُلَّ وَاحِدَة مِنْهُمَا تَمْرَةً وَرَفَعتْ إِلَى فِيها تَمْرَةً لِتَأكُلها، فَاسْتَطعَمَتهَا ابْنَتَاهَا، فَشَقَّتِ التَّمْرَةَ الَّتي كَانَتْ تُريدُ أنْ تَأكُلَهَا   بَيْنَهُما، فَأعجَبَنِي شَأنُهَا، فَذَكَرْتُ الَّذِي صَنَعَتْ لرسولِ الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: {إنَّ الله قَدْ أوْجَبَ لَهَا بها الجَنَّةَ، أَوْ أعتَقَهَا بِهَا مِنَ النَّارِ}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Âisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilijiwa na (mwanamke) masikini aliewabeba mabinti zake, nikampa tende tatu, naye akampa kila mmoja tende moja. Akaichukua tende ya tatu anataka kuila, wale mabinti zake wakaitaka, basi akaipasua mara mbili tende ile aliyoitaka kuila (akawapa wao). Nikapendezwa na kitendo chake hiki. Jambo hilo nikamweleza Mtume , akasema: [Hakika Allâh Ameshamuwajibishia kuingia Peponi, au Amemuacha huru na moto kwa sababu ya tende hiyo.]    [Imepokewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.