0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

254. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 03

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي سعيدٍ الخدري رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «احْتجَّتِ الجنَّةُ والنَّارُ فقالت النَّارُ : فيَّ الجبَّارُونَ والمُتَكَبِّرُونَ ، وقَالتِ الجَنَّةُ : فيَّ ضُعفَاءُ النَّاسِ ومسَاكِينُهُم فَقَضَى اللَّهُ بَيْنَهُما : إِنَّك الجنَّةُ رحْمتِي أَرْحَمُ بِكِ مَـنْ أَشَاءُ ، وَإِنَّكِ النَّارُ عَذابِي أُعذِّب بِكِ مَــنْ أَشَاءُ ، ولِكِلَيكُمَا عَلَيَّ مِلؤُها »      رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Sa’id Al Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mungu : [Pepo na Moto zilikhasimiana Moto ukasema: kwangu kunapatikana watu majabari na wenye kiburi, Pepo ikasema kwangu kunapatikana watu Madhaifu na Masikini wao Mwenyezi Mungu akahukumu baina ya Pepo na Moto: Wewe Pepo ni rehma yangu nitamrehemu kwa sababu yako nimtakaye. Na wewe moto ni adhabu yangu Nitamwadhibu kwako nimtakae na nyote nitawajaza. ]    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.