0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

241. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kusitiri Aibu za Waislamu … Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن  أبي هريرة رضي الله عنه  قال : سمِعت رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول : « كُلُّ أَمَّتِي مُعَافًى إِلاَّ المُجاهرينَ ، وإِنَّ مِن المُجاهرةِ أَن يعمَلَ الرَّجُلُ بالليلِ عمَلاً ، ثُمَّ يُصْبحَ وَقَدْ سَتَرهُ اللَّه عَلَيْهِ فَيقُولُ : يَا فلانُ عَمِلْتُ الْبَارِحَةَ كذَا وَكَذَا ، وَقَدْ بَاتَ يَسْترهُ ربُّهُ ، ويُصْبحُ يَكْشفُ سِتْرَ اللَّه »   متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu Akisema: [Umma wangu umesalimika isipokwa wanaodhihirisha (maovu) kwa hakika miongoni mwa kudhihirisha (maovu) ni mtu atende amali (maasia) usiku kisha apambaukiwe ilihali amesitiriwa na Mwenyezi Mungu aanze kusema: “Ee fulani, usiku nilitenda kadha na kadha” na ilihali alipitiwa na usiku wite hali ya kuwa Mwenyezi Mungu amemsitiri na apambaukiwe akiwa anaifunuwa sitara aliositiriwa na Mwenyezi Mungu]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.