BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه أَنَّ رسول الَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « حقُّ الْمُسْلمِِ عَلَى الْمُسْلِمِ خمسٌ : رَدُّ السَّلامِ ، وَعِيَادَةُ الْمرِيضَ ، واتِّبَاعُ الْجنَائِزِ ، وإِجابة الدَّعوةِ ، وتَشمِيت العْاطِسِ » متفق عليه
وفي رواية لمسلمٍ : « حق الْمُسْلمِ سِتٌّ : إِذا لقِيتَهُ فسلِّم عليْهِ ، وإِذَا دَعاكَ فَأَجبْهُ ، وَإِذَا اسْتَنْصَحَكَ فَانْصحْ لهُ ، وإِذا عطَس فحمِد اللَّه فَشَمِّتْهُ . وَإِذَا مرِضَ فَعُدْهُ ، وَإِذَا ماتَ فاتْبعهُ
Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Amesema: [Haki ya Muislamu juu ya Muislamu mwenzake ni tano: Kurudisha salamu, kumzuru mgonjwa, kumfuata jeneza, kuitikia mwaliko na kumwombea Dua aliyepiga chafya (aliyechumua).] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
Na katika Riwaya ya Muslim [Haki ya Muislamu ni sita: Unapokutana naye umsalimie, anapokualika umwitikie, anapotaka nasaha mnasihi, anapochemua na akamuhimidi Mwenyezi Mungu (kwa kusema Alhamdulillha) muombee Dua, akiwa mgonjwa mzuru na anapokufa fuata (jeneza lake).]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله