0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

235. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 14


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «لا تَحاسدُوا ولا تناجشُوا ولا تَباغَضُوا ولا تَدابرُوا ولا يبِعْ بعْضُكُمْ عَلَى بيْعِ بعْضٍ ، وكُونُوا عِبادَ اللَّه إِخْواناً. المُسْلِمُ أَخُو الْمُسْلِم لا يَظلِمُه ولا يَحْقِرُهُ ولا يَخْذُلُهُ . التَّقْوَى هَاهُنا ويُشِيرُ إِلَى صَدْرِهِ ثَلاَثَ مرَّاتٍ  بِحسْبِ امْرِيءٍ مِنَ الشَّرِّ أَنْ يَحْقِر أَخاهُ المسلم . كُلَّ الْمُسْلِمِ عَلَى الْمُسْلِمِ حرامٌ دمُهُ ومالُهُ وعِرْضُهُ »     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu  : [Msihusudiane, wala msipandishiane bei (katika biashara), wala msibughudhiane, wala msipeane mgongo (msikatane), wala baadhi yenu wasiuze juu ya wageni; na nyote kuweni ni waja wa Mwenyezi Mungu, ndugu moja. Muislamu ni ndugu ya Muislamu; hamdhulumu wala hamdharau, wala haachi kumnusuru. Uchaji Mungu uko hapa – akaashiria mara tatu kifuani mwake – yatosha mtu kutenda shari atakapomdharau nduguye Muislamu. Kila Muislamu juu ya Muislamu mwenziwe ni haramu: damu yake, mali yake na heshima yake.]   [Imepokewa na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.