June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي قَتادَةَ الْحارِثِ بنِ ربْعي رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «إِنِّي لأَقُومُ إِلَى الصَّلاةِ ، وَأُرِيدُ أَنْ أُطَوِّل فِيها ، فَأَسْمعُ بُكَاءَ الصَّبِيِّ ، فَأَتَجوَّزَ فِي صلاتِي كَرَاهِيَةَ أَنْ أَشُقَّ عَلَى أُمِّهِ » رواه البخاري
Kutoka kwa Abuu Qataadah Al-Haarith Ar-Ri’biy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Kwa hakika mimi husimama katika Swala na nikataka kuirefusha, husikia kilio cha Mtoto, hapo naifupisha Swala yangu kwa kuchelea nisije nikampa uzito Mama yake.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله