June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي موسى رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَن مَرَّ فِي شَيْءٍ مِنْ مَسَاجِدِنَا ، أَوْ أَسْوَاقِنَا، ومَعَه نَبْلٌ فَلْيُمْسِكْ ، أَوْ لِيَقْبِضْ عَلَى نِصالِهَا بِكفِّهِ أَنْ يُصِيب أَحَداً مِنَ الْمُسْلِمِينَ مِنْهَا بِشَيْءٍ » متفق عليه
Kutoka kwa Abuu Musa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Anayepita katika sehemu ya Misikiti wetu, au masokoni mwetu, na ilhali ana mshale, basi auzuwie au akishike chemba chake kwa mkono wake, asije akamdunga nao yeyote katika Waislamu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله