0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

22. MLANGO WA NASAHA


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى : {إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ

{وقال تعالى إخباراً عن نوح صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم:  { وَأَنصَحُ لَكُمْ }  وعن هود صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم:  { وَأَنَا لَكُمْ نَاصِحٌ أَمِينٌ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Waumini ni ndugu] 
     [Suuratul Al H’ujuraat:15]

Na Mwenyezi Mungu anaelezea Habari ya Nabii Nuuh alipowaabia kaumu yake [Na ninakunasihini]  [7:62] na kuhusu Nabii Huud aliposema walingania kaumu yake :

[Na mimi kwenu ni mwenye kukunasihini, muaminifu.]       [Suurat Al-A’raaf: 68]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.