November 23, 2025
0 Comments
٢١٤- باب فضل قيام ليلة القدْر وبَيان أرجى لياليها
قَالَ الله تَعَالَى: {إِنَّا أَنْزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةِ الْقَدْرِ} [القدر: ١] إِلَى آخرِ السورة
وقال تعالى: {إِنَّا أَنْزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةٍ مُبَارَكَةٍ.} الآيات [الدخان: ٣]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
214. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI LAILATUL-QADRI NA KUBAINISHA MASIKU YAKE YANAYOTARAJIWA ZAIDI
Allâh Amesema: “Hakika Tumeiteremsha (Qur’âni) katika Lailatul-Qadri (Usiku wenye heshima kuu, katika mwezi wa Ramadhani).” [97:1]. Mpaka mwisho wa Sura.
Allâh Amesema: “Kwa yakini Tumeiteremsha (Qur’âni) katika usiku uliobarikiwa…” mpaka mwisho wa Aya zinazoeleza habari hii. [44:3].