November 23, 2025
0 Comments
٢١٣- باب استحباب قيام رمضان وهو التروايح
عنْ أَبي هُريرةَ رَضِي اللَّه عنْهُ أَنَّ رَسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “منْ قَامَ رَمَضَانَ إِيماناً واحْتِساباً غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنْبِهِ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA SUNNAH YA KUSWALI RAMADHANI SWALA YA TARAWEHE
Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayeswali (Swala ya tarawehe) Ramadhani kwa imani na kutaraji thawabu, atasamehewa dhambi zake zilizotangulia.” [ Wameaafikiana Bukhari na Muslim ].