0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


٢١٢- باب فضل قيام الليل


قَالَ الله تَعَالَى: {وَمِنَ اللَّيْلِ فَتَهَجَّدْ بِهِ نَافِلَةً لَكَ عَسَى أَنْ يَبْعَثَكَ رَبُّكَ مَقَاماً مَحْمُوداً} [الإسراء: ٧٩]

وقال تعالى: {تَتَجَافَى جُنُوبُهُمْ عَنِ الْمَضَاجِعِ} [السجدة: ١٦]

وقال تَعَالَى: {كَانُوا قَلِيلاً مِنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ} [الذاريات: ١٧]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Allâh Amesema: “Na amka usiku kwa ibada; ni ziada ya Sunnah khasa kwako wewe. Huenda Mola wako Mlezi Akakunyanyua cheo kinachosifika.” 17:79].

Allâh Amesema: “Mbavu zao zinaachana na vitanda…” [32:16].

Allâh Amesema: “Walikuwa wakilala kidogo tu usiku.” [51:17].


Begin typing your search above and press return to search.