0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

208. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI TAHIYYATUL-MASJID, MAKRUHU YA KUKETI KABLA YA KUSWALI RAKAA MBILI WAKATI WOWOTE ATAKAOINGIA, IMA AWE AMESWALI RAKAA MBILI KWA NIYA YA TAHIYYATUL-MASJID AU KWA SWALA YA FARADHI AU SUNNAH YA RATIBA AU SWALA YOYOTE

٢٠٨- باب الحثِّ على صلاة تحية المسجد وكراهية الجلوس قبل أن يصلي ركعتين في أي وقت دخل وسواء صلَّى ركعتين بنية التَّحِيَّةِ أَوْ صلاة فريضة أَوْ سُنة راتبة أَوْ غيرها

عن أَبي قتادةَ رضِيَ اللَّه عَنْهُ، قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذَا دَخَلَ أحَدُكم المسْجِدَ، فَلا يَجلِسْ حَتَّى يُصَلِّيَ رَكْعَتيْنِ”    متفقٌ عليه

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

208. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI TAHIYYATUL-MASJID, MAKRUHU YA KUKETI KABLA YA KUSWALI RAKAA MBILI WAKATI WOWOTE ATAKAOINGIA, IMA AWE AMESWALI RAKAA MBILI KWA NIYA YA TAHIYYATUL-MASJID AU KWA SWALA YA FARADHI AU SUNNAH YA RATIBA AU SWALA YOYOTE

Imepokewa kutoka kwa Abû Qatâda ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Mmoja wenu atakapoingia Msikitini asiketi mpaka aswali rakaa mbili.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.