0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

206. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 04


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشة رضي الله عنها أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : « مَنْ ظَلَمَ قِيدَ شِبْرٍ مِنَ الأرْضِ طُوِّقَهُ منْ سَبْعِ أَرَضِينَ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Atakaye dhulumu ardhi kiasi cha shubiri atabebeshwa ardhi saba (siku ya Qiyama)]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.