June 25, 2021        
        
            
            0 Comments        
    
BUSTANI YA WATU WEMA

وعن عائشة رضي الله عنها أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : « مَنْ ظَلَمَ قِيدَ شِبْرٍ مِنَ الأرْضِ طُوِّقَهُ منْ سَبْعِ أَرَضِينَ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Atakaye dhulumu ardhi kiasi cha shubiri atabebeshwa ardhi saba (siku ya Qiyama)] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
 
    