0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

206. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA DHUHÂ, KUBAINISHA UCHACHE WAKE, WINGI WAKE NA WASTANI WAKE, NA MAHIMIZO JUU YA KUIHIFADHI SWALA HIYO


٢٠٦- باب فضل صلاة الضحى وبيان أقلِّها وأكثرها وأوسطها، والحثِّ عَلَى المحافظة عَلَيْهَا


عنْ أَبي هُريرةَ رَضي اللَّه عنْهُ، قَالَ: أوصَاني خَليلي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِثَلاثٍ صِيامِ ثَلاثَةِ أَيَّامٍ مِن كُلِّ شَهْرٍ، وركْعَتي الضُّحَى، وأَنْ أُوتِرَ قَبل أَنْ أَرْقُد”      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



206. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA DHUHÂ, KUBAINISHA UCHACHE WAKE, WINGI WAKE NA WASTANI WAKE, NA MAHIMIZO JUU YA KUIHIFADHI SWALA HIYO


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Sahiba yangu  ameniusia kufunga siku tatu kila mwezi, kuswali rakaa mbili za Dhuhâ na niswali Witri kabla sijalala.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.