0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE


٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته


 عَنْ عليٍّ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قالَ: الوتِرُ لَيْس بِحَتْمٍ كَصَلاةِ المكْتُوبَةِ، ولكِنْ سَنَّ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “إنَّ اللَّه وِترٌ يُحِبُّ الْوتْرَ، فأَوْتِرُوا، يَا أَهْلَ الْقُرْآنِ”

رواه أَبُو داود والترمذي وقَالَ: حديثٌ حسنٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE


Imepokewa kutoka kwa ‘Alî ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “(Swala ya) Witri si lazima kama Swala ya faradhi, lakini Mtume ameiweka ni Sunnah, akasema: “Hakika Allâh ni Witri (Mmoja) Yuwapenda Witri, basi swalini Witri enyi watu wa Qur’ân.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan. ].


Begin typing your search above and press return to search.