0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

204. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لَتُؤَدُّنَّ الْحُقُوقَ إِلَى أَهْلِهَا يَوْمَ الْقيامَةِ حَتَّى يُقَادَ للشَّاةِ الْجَلْحَاء مِنَ الشَّاةِ الْقَرْنَاء »    رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ amesema: [Mtaendelea kutimiza haki za wenyewe Siku ya Qiyama mpaka kondoo asiyekuwa na pembe alipize kisasi juu ya mwenye pembe.]     [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.