٢٠٤- باب استحباب جعل النوافل في البيت سواء الراتبة وغيرُها والأمر بالتحول للنافلة من موضع الفريضة أَو الفصل بينهما بكلام
عَنْ زيدِ بنِ ثابتِ رضِيَ اللَّه عَنْهُ، أَنَّ النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “صلُّوا أَيُّها النَّاسُ فِي بُيُوتِكُمْ، فَإنَّ أفضلَ الصَّلاةِ صلاةُ المَرْءِ في بَيْتِهِ إِلاَّ المكْتُوبَةَ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
204. MLANGO WA SUNNAH YA KUSWALI NAFLA NYUMBANI, IMA IWE NI YA RATIBA AU NYENGINEZO, NA MAAMRISHO YA KUGEUKA KATIKA SUNNAH MAHALA PA FARADHI AU KUPAMBANUA KWA MANENO BAINA YAKE
Imepokewa kutoka kwa Zaid bin Thâbit (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Enyi watu, swalini majumbani mwenu, hakika Swala iliyo bora zaidi ni Swala ya mtu anaposwali nyumbani mwake ila Swala ya faradhi.” [ Wameaikiana Bukharri Muslim ].