0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

203. MLANGO WA SUNNAH YA IJUMAA


٢٠٣- باب سُنّة الجمعَة


عنْ أَبي هُريرةَ رضِيَ اللَّه عَنْهُ قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذَا صَلَّى أَحدُكُمُ الجُمُعَةَ، فَلْيُصَلِّ بعْدَهَا أَرْبعاً” رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



203. MLANGO WA SUNNAH YA IJUMAA


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume   amesema: “Mmoja wenu anaposwali (Swala ya) Ijumaa, na aswali baada yake rakaa nne.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.