October 5, 2025
0 Comments
٢٠١- باب سُنَّة المغرب بَعدَها وقبلَها
تقدم في هذه الأبواب حديثُ ابن عمر, وحديث عائشة, وهما صحيحان أنَّ النبيَّ, صلى الله عليه وسلم, كَانَ يُصَلِّي بَعدَ المَغْرِبِ رَكْعَتَيْنِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
201. MLANGO WA SUNNAH YA MAGHARIBI BAADA YAKE NA KABLA YAKE
Imepokelewa katika milango hii Hadithi ya Ibn Umar na Hadithi ya Aisha – nazo ni sahihi – kwamba Mtume ﷺ alikuwa akiswali rakaa mbili baada ya Magharibi.