0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI


١٩٩- باب سُنّة الظهر


 عَنِ ابنِ عُمَرَ، رَضيَ اللَّه عنْهُما، قالَ: صلَّيْتُ مَع رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ركْعَتَيْنِ قَبْل الظُّهْرِ، ورَكْعَتيْنِ بعدَهَا. متفقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Niliswali pamoja na Mtume ﷺ rakaa mbili kabla ya adhuhuri na rakaa mbili baada yake.”     [ Wameafikiana Bukhari  na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.