0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

198. MLANGO WA SUNNAH YA KULALA UBAVU WA KULIA BAADA YA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI NA MSISITIZO WA KUFANYA HIVYO, IMA AWE AMESWALI TAHAJJUD USIKU AU HAKUSWALI

١٩٨- باب استحباب الاضطجاع بعد بعد ركعتي الفجر عَلَى جنبه الأيمن والحث عليه سواءٌ كَانَ تهجَّدَ بِاللَّيْلِ أمْ لا

عنْ عائِشَةَ رَضِي اللَّه عنهَا قالَت: كانَ النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا صلَّى رَكْعَتي الْفَجْرِ، اضْطَجع عَلَى شِقِّهِ الأَيْمنِرَوَاهُ البخاريُّ

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

198. MLANGO WA SUNNAH YA KULALA UBAVU WA KULIA BAADA YA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI NA MSISITIZO WA KUFANYA HIVYO, IMA AWE AMESWALI TAHAJJUD USIKU AU HAKUSWALI

Imepokewa kutika kwa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa anaposwali rakaa mbili za alfajiri, akilala kwa ubavu wake wa kulia.”      [ Imepokewa na Bukhârî. ]

Begin typing your search above and press return to search.