September 4, 2025
0 Comments
١٩٦- باب تأكيد ركعتي سنَّةِ الصبح
عن عائشةَ رضِيَ اللَّه عنْهَا، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ لا يدَعُ أَرْبعاً قَبْلَ الظُّهْرِ، ورَكْعَتَيْنِ قبْلَ الغَدَاةِ. رَوَاهُ البُخَارِيُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
196. MLANGO WA MSISITIZO WA RAKAA MBILI ZA ASUBUHI
Imepokewa kutika kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia kuwa: “Mtume ﷺ alikuwa haachi kuswali rakaa nne kabla ya adhuhuri na rakaa mbili kabla ya (Swala ya) asubuhi.” [ Imepokelewa na Bukhârî .]