0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

195. MLANGO WA FADHILA ZA SUNNAH ZA RATIBA PAMOJA NA FARADHI, NA UBAINIFU WA UCHACHE NA UKAMILIFU WAKE NA BAINA YA HALI HIZO MBILI


١٩٥- بابُ فَضْلِ السنَنِ الراتِبِة مَعَ الفَرَائِضِ وبيانِ أَقَلِّهَا وأَكْمَلِها وما بينَهُما


عنْ أُمِّ المؤمِنِينَ أُمِّ حبِيبَةَ رَمْلةَ بِنتِ أَبي سُفيانَ رضيَ اللَّه عَنهما، قَالتْ: سَمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: ” مَا مِنْ عبْدٍ مُسْلِم يُصَلِّي للَّهِ تَعَالى كُلَّ يَوْمٍ ثِنْتَيْ عشْرةَ رَكْعَةً تَطوعاً غَيْرَ الفرِيضَةِ، إِلاَّ بَنَى اللَّه لهُ بَيْتاً في الجَنَّةِ، أَوْ: إِلاَّ بُنِي لَهُ بيتٌ فِي الجنَّةِ”       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



195. MLANGO WA FADHILA ZA SUNNAH ZA RATIBA PAMOJA NA FARADHI, NA UBAINIFU WA UCHACHE NA UKAMILIFU WAKE NA BAINA YA HALI HIZO MBILI


Imepokewa kutika kwa Ummulmu-minîn (Mama wa Waumini), Ummu Habîba, Ramla binti Abî Sufyân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Mja yeyote Muislamu, anayeswali – kwa ajili ya Allâh – kila siku rakaa kumi na mbili za kujitolea (Sunnah) ambazo si za faradhi, bila shaka Allâh Atamjengea nyumba Peponi.” Au alisema: “..atajengewa nyumba Peponi.”       [ Imepokewa na  Muslim .]


Begin typing your search above and press return to search.