0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


 باب الأمر بالمحافظة عَلَى الصلوات المكتوبات والنهي الأكيد والوعيد الشديد في تركهنَّ


قال الله تَعَالَى: {حَافِظُوا عَلَى الصَّلَوَاتِ وَالصَّلاةِ الْوُسْطَى} [البقرة: ٢٣٨]

 وقال تعالى: {فَإِنْ تَابُوا وَأَقَامُوا الصَّلاةَ وَآتَوُا الزَّكَاةَ فَخَلُّوا سَبِيلَهُمْ} [التوبة: ٥]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



193. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUZIHIFADHI SWALA ZA FARADHI, NA MAKATAZO YA MKAZO NA MAONYO MAKALI YA KUZIACHA


Allâh Amesema: “Zihifadhini Swala (tano) na Swala ya kati na kati.” [2:238].

Allâh Amesema: “Lakini wakitubu, wakashika Swala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.” [9:5].


Begin typing your search above and press return to search.