باب الحثِّ عَلَى حضور الجماعة في الصبح والعشاء
عنْ عثمانَ بنِ عفانَ رضيَ اللَّه عنهُ قالَ: سمعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “مَنْ صَلَّى العِشَاءَ فِي جَمَاعَةٍ، فَكَأَنَّما قامَ نِصْف اللَّيْل وَمَنْ صَلَّى الصبْح في جَمَاعَةٍ، فَكَأَنَّما صَلَّى اللَّيْل كُلَّهُ” رواه مُسلِم
وفي روايةِ الترمذي عنْ عثمانَ بنِ عفانَ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: قَالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ شَهِدَ العِشَاءَ فِي جمَاعةٍ كَانَ لهُ قِيامُ نِصْفِ لَيْلَة، ومَنْ صَلَّى العِشَاءَ والْفَجْر فِي جمَاعَةٍ، كَانَ لَهُ كَقِيَامِ لَيْلَة” قَالَ التِّرمذي: حديثٌ حسن صحيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
192. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUHUDHURIA SWALA YA JAMAA ASUBUHI NA ISHA
Imepokewa kutoka kwa ‘Uthmân bin ‘Affân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Anayeswali isha kwa jamaa, ni kanakwamba amesimama nusu ya usiku, na anayeswali asubuhi kwa jamaa ni kanakwamba amesimama usiku wote.” [ Imepokewa na Muslim. ]
Riwaya ya Tirmidhy imepokewa kutoka kwa ‘Uthmân bin ‘Affân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anaehudhuria Swala ya isha kwa jamaa, atapata ujira wa kuswali nusu ya usiku, na anayeswali isha na alfajiri kwa jamaa, atakuwa ni kama aliesimama usiku wote.” [ Imepokewa Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]