August 19, 2025
0 Comments
١٩١- باب فضل صلاة الجماعة
عن ابنِ عمَر رضي اللَّه عنهما أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “صَلاةُ الجَمَاعَةِ أَفضَلُ مِنْ صَلاةِ الفَذِّ بِسَبْعٍ وَعِشْرِينَ درَجَةً” متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
191. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA JAMAA
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yako) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Swala ya jamaa ni bora kuliko Swala ya upweke kwa daraja ishirini na saba. “ [ Wameafikiana Bukhârî. na Muslim ]