0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

190. MLANGO WA FADHILA ZA KUNGOJA SWALA


١٩٠- باب فضل انتظار الصلاة


عنْ أَبي هريرةَ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “لا يَزَالُ أَحَدُكُمْ في صَلاةٍ مَا دَامتِ الصَّلاَةُ تَحْبِسُهُ، لا يَمْنَعُهُ أَنْ يَنْقَلِبَ إِلى أَهْلِهِ إِلاَّ الصَّلاةُ”      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



190. MLANGO WA FADHILA ZA KUNGOJA SWALA


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Haachi mmoja wenu kuwa katika Swala madamu Swala ndio inayomzuwia, hakuna kinachomzuwia kurejea kwa familia yake ila ni Swala.”      [ Wameafikian Bukhârî na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.