0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

189. MLANGO WA FADHILA YA KUTEMBEA HADI MSIKITINI


١٨٩- باب فضل المشي إلى المساجد


عن أَبي هريرةَ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ غَدا إِلى المسْجِدِ أَوْ رَاحَ، أَعَدَّ اللَّه لهُ في الجَنَّةِ نُزُلاً كُلَّمَا غَدَا أَوْ رَاحَ”     مُتَّفَقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



189. MLANGO WA FADHILA YA KUTEMBEA HADI MSIKITINI


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: “Anayeenda Msikitini asubuhi au jioni, Allâh Humwandalia karamu (mashukio bora) Peponi kila anapoenda (iwe ni) asubuhi au jioni.”   [ Wameafikian Bukhârî na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.