0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

188. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA ASUBUHI NA ALASIRI


١٨٨- باب فضل صلاة الصبح والعصر


 عن أَبي موسى رضي اللَّه عنهُ أَنَّ رسول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ صلَّى البرْديْن دَخَلَ الجنَّة”   متفقٌ عَلَيهِ

“البرْدانِ”: الصُّبْحُ والعَصرُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



187. MLANGO WA FADHILA ZA SWALA


Imepokewa kutoka kwa Abû Mûsâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayeswali Swala ya asubuhi na alasiri ataingia Peponi.”     [ Wameaikiana Bkhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.