BUSTANI YA WATU WEMA
عن النعْمانِ بنِ بَشيرٍ رضي اللَّه عنهما عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « مَثَلُ القَائِمِ في حُدودِ اللَّه ، والْوَاقِعِ فيها كَمَثَلِ قَومٍ اسْتَهَمُوا على سفينةٍ فصارَ بعضُهم أعلاهَا وبعضُهم أسفلَها وكانَ الذينَ في أسفلها إِذَا اسْتَقَوْا مِنَ الماءِ مَرُّوا عَلَى مَنْ فَوْقَهُمْ فَقَالُوا : لَوْ أَنَّا خَرَقْنَا في نَصَيبِنا خَرْقاً وَلَمْ نُؤْذِ مَنْ فَوْقَنَا ، فَإِنْ تَرَكُوهُمْ وَمَا أَرادُوا هَلكُوا جَمِيعاً ، وإِنْ أَخَذُوا عَلَى أَيْدِيهِم نَجوْا ونجوْا جَمِيعاً » . رواهُ البخاري
القَائمُ في حُدودِ اللَّه تعَالى » مَعْنَاهُ : المُنْكِرُ لها ، القَائمُ في دفعِهَا وإِزالَتِهَا والمُرادُ بِالحُدودِ : مَا نهى اللَّه عَنْهُ : «اسْتَهَمُوا » : اقْتَرعُوا
Kutoka kwa An-Nu’maan bin Bashiyr Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Mfano wa mwenye kusimama juu ya mipaka ya Mwenyezi Mungu na (mfano) wa wale walioingia ndani (kwa kuvuka mipaka hiyo), ni mfano wa watu waliopiga kura (kuingia) katika Jahazi, baadhi yao wakawa juu na wengine wakawa chini. wakawa wale waliokuwa chini wanapotaka wanataka maji ya kunywa wanawaomba walioko chini wakasema: Lau sisi tukitoboa tundu katika sehemu yetu (hii ya chini) ili tusiwaudhi waliko juu yetu. Ikiwa (watu wa juu) wataacha wafanye wanayoyataka basi wataangamia wote, na wakiwashika mikono yao basi wataokoka wao na wote kwa pamoja.] [Imepokewa na Bukhari ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله