0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

184. MLANGO WA SUNNAH YA WATU KUJUMUIKA KATIKA KISOMO


١٨٤- باب استحباب الاجتماع عَلَى القراءة


وعَنْ أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “ومَا اجْتَمَعَ قَوْمٌ فِي بَيْتٍ مِنْ بُيوتِ اللَّهِ يَتْلُونَ كِتَابَ اللَّهِ، ويتَدَارسُونَه بيْنَهُم، إِلاَّ نَزَلتْ علَيهم السَّكِينَة، وغَشِيَتْهُمْ الرَّحْمَة، وَحَفَّتْهُم الملائِكَةُ، وذَكَرهُمْ اللَّه فيِمنْ عِنده “  رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



183. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSOMA SURA NA AYA MAKHSUSI


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume  ﷺ amesema: “..Na wala hakuna watu watakaojumuika katika Nyumba miongoni mwa Nyumba za Allâh wakawa wanasoma Kitabu cha Allâh na wanafundishana Kitabu hicho, ispokuwa huteremkiwa na utulivu, rehma huwafunika, Malaika huwazunguka na Allâh Huwataja pamoja na walio Kwake.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.