0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

181. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUIRUDIA-RUDIA QUR’ẤNI NA MAONYO YA KUTOISAHAU


١٨١- باب الأمر بتعهد القرآن والتحذير من تعريضه للنسيان


عَنْ أَبي مُوسَى رضِيَ اللَّه عنهُ عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “تَعاهَدُوا هَذَا الْقُرآنَ فَوَالَّذي نَفْسُ مُحمَّدٍ بِيدِهِ لَهُو أَشَدُّ تَفَلُّتاً مِنَ الإِبِلِ فِي عُقُلِها”     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



181. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUIRUDIA-RUDIA QUR’ẤNI NA MAONYO YA KUTOISAHAU


Imepokewa kutoka kwa Abû Mûsâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume   amesema: “Dumisheni kuisoma Qur’âni. Naapa kwa Ambaye nafsi ya Muhammad iko Mkononi Mwake, hiyo (Qur’âni) ni wepesi kukimbia kuliko ngamia anavyoshopoka katika kamba yake.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ] .

Begin typing your search above and press return to search.