May 12, 2025
0 Comments
باب استحباب ابتداء القادم بالمسجد الذي في جواره وصلاته فيه ركعتين
عن كعب بنِ مالكٍ رضي اللَّه عنهُ أَن رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ إِذَا قَدِمَ مِنْ سَفرٍ بَدأَ بالمَسْجِدِ فَركع فِيهِ رَكْعتَيْنِ. متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
178. MLANGO WA SUNNAH YA ALIEKUJA KUTOKA SAFARI KUANZA KUSHUKIA KATIKA MSIKITI ULIO KARIBU NAYE NA KUSWALI RAKAA MBILI
Imepokewa na Ka’b bin Mâlik ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia kuwa: “Mtume ﷺ alikuwa anapokuja kutoka safari, huanza kushukia Msikitini akaswali rakaa mbili.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].